IQNA

Qarii Ustadh Hamid Shakranjad akisoma aya katika Sura Al Hujurat na Qaf  (+Video)

Sauti ya usomaji wa aya ya 15 hadi 18 za Sura Al Hujurat na vile vile aya za mwanzo za Sura ya Qaf kwa sauti nzuri ya Hamid Shakranjad, msomaji wa kimataifa wa Qur'ani Tukufu, iliyosomwa kwenye kaburi la Razavi, Imetolewa na Iqna

 

4174683